UEFA CHAMPIONS LEAGUE: ATLETICO MADRID 0 vs 0 REAL MADRID, HAKUNA MBABE ESTADIO VICENTE CALDERON
TZ MZUKA
14:21
0
Real Madrid imeshindwa
kufurukuta katika mechi ya kwanza ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Ikiwa ugenini dhidi ya
wapinzani wake wakubwa Atletico Madrid, imeshindwa kufurukuta baada ya sare ya
0-0.
Madrid inalazimika kusubiri
mechi ya marudiano ikiwa nyumbani Santiago Bernabeu.
VIKOSI:
Atletico Madrid Wanaoanza: Oblak, Juanfran, Miranda, Godin, Siqueira, Gabi, Mario Suarez, Koke, Arda, Griezmann, Mandzukic
Atletico Akiba: Moya, Gamez, Gimenez, Tiago, Raul Garcia, Saul Niguez, Torres
Real Madrid Wanaoanza: Casillas, Carvajal, Varane, Ramos, Marcelo, Kroos, Modric, James, Bale, Ronaldo, Benzema
Real Akiba: Navas, Pepe, Arbeloa, Khedira, Isco, Illarramendi, Jese