Mshambuliaji Luis Suarez amefunga mabao mawili na PSG imechezea kipigo cha mabao 3-1 ikiwa nyumbani
Paris, Ufaransa.
Mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya nusu fainali ilikuwa
tamu na Suarez amefunga mabao mawili, yote akimtoka Luiz na Neymar akafunga
moja.
Kwa upande wa PSg walipata bao lao moja kupitia beki Mathieu
aliyejifunga baada ya kujaribu kuokoa. Hata hivyo bao hilo limekuwa na utata
kuwa apewe aliyepiga shuti au aliyeugonga mpira ukaenda wavuni wakati akiokoa.
PSg inalazimika kushinda bao 2-0 itakapokuwa ugenini Camp Nou ili
isonge hadi nusu fainali wakati Barcelona inaonekana kulahisisha kazi.