Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » WASTARA ALIA NA AJALI


TZ MZUKA 01:06 0


Msanii wa filamu bongo Wastara Juma amepata ajali mbaya ya gari, kupitia ukurasa wake wa facebook Wastara ameonyesha hisia zake kuhusu ajari zinazomkumba mara kwa mara na akiomba watanzania wamuombee akidai kuna watu wabaya wanahusika katika haya.
“DUA ZENU MUHIMU SANA KWA MNAONIPENDA NA MSIONIPENDA……hali hii imenichosha sana ya matukio ya ajali kila mara natamani kuwa na amani na maisha yangu couz mungu ana sababu kuniacha niendelee kupumua mpka leo ila kwa wanaochukia kuona napumua wanatamani nizikwe hta mzima ila mtambue nina watot 3 wananitegemea kwa kila kitu smtime mnasema nasikitika sana ni kweli sababu mi sio nabii nikihesabu hii ni ajali ya ya 9 sasa tena ni mbaya sana za kufa kabsa ila labda nimo kwa wale wanaopta ajali kipindi hiki japo kwangu ni too much,, ni jana na leo napumua alhamdulilah duwa zenu niombeni jamani huyu jinamizi akae mbali nami daah too much”ameandika Wastara

«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani