Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » Baba wa kambo wa Kim Kardashian ajitambulisha rasmi kujibadilisha jinsia na kuwa mwanamke


TZ MZUKA 11:02 0

Baba wa kambo wa Kim Kardashian, Bruce Jenner amejitambulisha rasmi kama Caitlyn Jenner baada ya kujibadilisha na kuwa mwanamke.


Caitlyn ameongea kwa mara ya kwanza baada ya kumaliza mchakato wa kubadilisha jinsia yake kwenye jarida la Vanity Fair. Hata hivyo Jenner bado hajabadilishwa sehemu zake za siri.
Habari hiyo imevuta hisia za watu wengi kwenye mtandao.
Tayari Bruce amefungua akaunti ya Twitter yenye jina lake jipya, Caitlyn Jenner. Ndani ya masaa machache akaunti hiyo imefikisha followers milioni 1.86.

«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani