James Milner wa Man City ajiunga na Liverpool

Christian Funchs wa Schalke atua Leicester City

Memphis Depay wa PSV - Ni wa Manchester United mpaka sasa akitokea PSV Eindhoven

Christian Atsu wa Chelsea atua kwa Mkopo Bournemouth

Philipp - Bayer Leverkusen kwenda Stoke

Xavi - Al -Sadd

Kipa Artul Borus - Southampton kwenda Bournemouth

Graham Dorrans - West Brom kwenda Norwich

Joshua King - Blackburn kwenda Bournemouth

Boyata wa Man City kwenda Celtic