Ikiwa bado Watanzania tunaendelea kupiga kura kwenye app ya Miss
World ili mshindi wa People’s Choice awe Happiness Watimanywa mpaka sasa
amefikia top 3 na akiwa mshindi wa PCA Basi atakwenda moja kwa moja
kwenye top ten ya Miss World inayofanyika leo London nchini Uingereza.