Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » FA CUP: MABINGWA WATETEZI ARSENAL WATINGA ROBO FAINALI


TZ MZUKA 10:30 0

MABINGWA Watetezi wa FA CUP, Arsenal, wakicheza kwao Emirates wamefanikiwa kutinga Robo Fainali ya Kombe hili baada ya kuiponda Middlesbrough Bao 2-0.
Hadi Mapumziko Arsenal walikuwa mbele kwa Bao hizo 2-0 zote zikifungwa na Olivier Giroud.
VIKOSI:
Arsenal: Szczesny; Chambers, Gabriel, Koscielny, Gibbs; Flamini; Welbeck, Cazorla, Ozil, Alexis; Giroud
Akiba: Martinez, Mertesacker, Monreal, Rosicky, Walcott, Coquelin, Akpom.
Middlesbrough: Mejias; Fredericks, Omeruo, Gibson, Friend; Adomah, Leadbitter, Clayton, Tomlin; Kike, Bamford
Akiba: Ripley, Nsue, Husband, Vossen, Reach, Whitehead, Woodgate.
REFA: Mike Dean
Bradford City 2 Sunderland 0
Bao za kujifunga mwenyewe John O'Shea, katika Dakika ya 3 tu, na lile la Jon Stead limewafanya Timu ya Daraja la chini, Bradford City, walipoichapa Sunderland Bao 2-1 huko Valley Parade na kutinga Robo Fainali ya FA CUP.
VIKOSI:
BRADFORD CITY: Williams; Darby, Davies, McArdle, Meredith; Knott, Liddle, Filipe Morais; Clarke; Stead, Hanson
Akiba: Sheehan, Zoko, Yeates, Mackenzie, Routis, Urwin, Halliday.
SUNDERLAND: Mannone; Jones, Brown, O’Shea, Van Aanholt; Larsson, Bridcutt, Alvarez; Johnson, Fletcher, Graham.
Akiba: Pantilimon, Wickham, Jordi Gomez, Coates, Vergini, Agnew.
REFA: Kevin Friend
Aston Villa 2 Leicester City 1
Aston Villa, huku wakitazamwa na Meneja wao mpya Tim Sherwood aliyekuwa Jukwaani, waliichapa Leicester City Bao 2-1 na kutinga Robo Fainali.
Bao za Villa zilifungwa na Leandro Bacuna, Dakika ya 68 na Scott Sinclair Dakika ya 89 wakati Leicester walipata Bao lao Dakika ya 90 kupitia Andrej Kramaric.
Hapo Jana Liverpool, West Bromwich Albion, Blackburn Rovers na Reading pia zilitinga Robo Fainali ya FA CUP baada ya kushinda Mechi zao za Raundi ya 5.
Mechi za Raundi ya 5 za FA CUP zitamalizika Jumatatu Usiku kwa Mechi 1 huko Deepdale kati ya Preston North End na Manchester United.
VIKOSI:
Aston Villa: Given, Hutton, Vlaar, Clark, Cissokho, Cleverley, Westwood, Delph, Bacuna, Benteke, Weimann
Akiba: Guzan, Okore, Sinclair, Cole, Sanchez, Lowton, Grealish.
Leicester: Schwarzer, Simpson, Morgan, Wasilewski, Upson, Konchesky, Mahrez, James, Cambiasso, Schlupp, Kramaric
Akiba: Hammond, Vardy, King, Albrighton, Hamer, Moore, Ulloa.
REFA: Mark Clattenburg

«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani