FA CUP;MAN UNITED YATIMBA ROBO FAINALI SASA KUIVAA ARSENAL
TZ MZUKA
14:44
0
Manchester united imetoka nyuma kwa bao 1-0 na kushinda 3-1 hivyo kutinga robo fainali ya FA CUP dhidi ya Preston Noth End na sasa watakutana na mabingwa watetezi arsenal.
Sclott laird alitangulia kuwafungia wenyeji Preston Noth End dakika ya 47
kwa shuti na kumbabatiza golikipa De Gea,kabla ya Ander herrera
kisawazishia man united dakika ya 65.
Morouane Fellaini
akafunga goli la pili dakika ya 72 kabla ya Wyne rooney kusababisha
penalti dakika za mwisho na kwenda kufunga mwenyewe.
Sasa Manchester united iatakutana na mabingwa watetezi Arsenal katika robo fainali Uwanja wa old Trafford
DROO KAMILI:
Liverpool v Blackburn Rovers
Bradford City v Reading
Man United v Arsenal
Aston Villa v West Bromwich Albion