Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » CHELSEA YAPATA SARE YA BAO 1-1 DHIDI YA PSG


TZ MZUKA 14:55 0


Bao la kusawazisha la Edinson Cavani limeiwezesha PSG kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya Chelsea katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Chelsea walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia Ivanovic kabla ya Cavani kusawazisha na kuvunja sherehe ya Kocha Jose Mourinho aliyekuwa ugenini.

PSG: Sirigu, Van der Wiel, Marquinhos, Thiago Silva, Maxwell, Verratti, Luiz, Matuidi, Lavezzi, Ibrahimovic, Cavani.

Subs: Douchez, Camara, Bahebeck, Digne, Rabiot, Pastore, Kimpembe.

Chelsea: Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Ramires, Matic, Willian, Fabregas, Hazard, Costa.
Subs: Cech, Luis, Zouma, Oscar, Drogba, Remy, Cuadrado.
Referee: Cuneyt Cakir (Turkey)

«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani