Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » » Msanii wa Bongo Fleva,Mez B amefariki dunia.


TZ MZUKA 01:01 0

























Moja ya taarifa ya kushtua na kuhuzunisha zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii, pamoja na watu kutumiana message ni kuhusu msiba wa aliyekuwa staa wa muziki wa Bongo Fleva.
Katika mahojiano yaliyofanywa na dada wa marehemu ambaye jina lake ni Rachel amethibitisha kuwa msanii MEZ B amefariki akiwa nyumbani kwao Dodoma.
Msanii mwenzake pia ambaye ni Noorah ameongea pia kuthibitisha kwamba ni kweli yeye pia alikuwa akiwasiliana na Mez B ambaye alikuwa na homa tangu mwezi December mwaka jana na baadaye akasafiri kwenda Dodoma, anasema mara ya mwisho wameongea kwenye simu ni siku tano zilizopita, leo simu yake imepokelewa na dada yake akimtaarfu kuwa Mez B amefariki muda mfupi uliopita.
Mez B aliwahi kuwa kundi moja na akina Ray C, Noorah na marehemu Albert Mangwea pia.
Msiba uko nyumbani kwao eneo la Kisasa, Dodoma.

«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani