Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » Picha za Birthday Party ya Rihanna


TZ MZUKA 22:10 0

Rihanna amefanyiwa pati ya kushtkiza na familia na marafiki wachache kwenye siku yake ya kuzaliwa. Kampuni ya Roc Nation imefanya sherehe ndogo kwaajili ya Bad Girl Riri.

Waliohudhuria ni pamoja na Jay Z, Beyonce, Vin Diesel, Queen Latifah, Russell Simmons na Naomi Cambell.








«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani