PICHA;Uzinduzi Wa Viatu Vya Kanye West
TZ MZUKA
10:52
0
Angalia picha za uzinduzi wa viatu ‘Yeezy 750 Boost’ vilivyobuniwa na mwanamuziki Kanye West, ambapo uzinduzi huo uliofanyika jana jijini New York Marekani. Katika hafla hiyo ilihudhuriwa na mastaa kibao wakiwemo Jay Z na mke wake Beyonce, Rihanna, P- Diddy na mchumba wake Cassie, Justine Bieber na wengine.