PICHA;LUIS NANI AFUNGA GOLI, AANGUSHA BONGE LA KILIO
TZ MZUKA
12:14
0
Kiungo wa Man
United anayecheza Sporting Lisbon kwa mkopo amefunga bonge la bao, halafu
akaanza kulia.
Nani amefunga
bao hilo umbali wa zaidi ya mita 30 wakati Sporting ilipishinda Gil Vicente kwa
mabao 2-0, jana