Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » Ujumbe wa Chris Brown kwa Karrueche Tran siku ya Valentine’s Day


TZ MZUKA 05:28 0


Mapenzi ya Chris Brown na mpenzi wake Karrueche Tran sasa yanaonekana kukua na kuimarika kadri siku zinavyokwenda na sasa hata akili zao huenda zikafika mbali na kufikiria hata kufunga ndoa.
Jana ilikua siku ya wapendanao duniani na kila mtu kwa namna yake aliweza kusherehekea na watu au mtu ampendaye kwa namna alivyotaka kufanya.
Kwa upande wa Chris Brown alimwandikia mpenzi wake Karruaeche ujumbe wa kuonyesha anampenda huku akimshukuru kwa kuonyesha kumjali zaidi.
Happy Valentine’s Day beautiful…. I’m so thankful to have [a] soul that cares for me the way you do. Love you babe”

«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani