Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » » MZEE ABBY SYKES AFARIKI DUNIA


TZ MZUKA 05:54 0

Msani mkongwe na maarufu wa mziki nchiniTanzania  Mzee Abby sykes na baba wa msani wa mziki wa kizazi kipya Dully Sykes Amefariki dunia 

Wengi tulimfahamu kutokana na ukaribu wake na Bongo Fleva, aliwahi kuonekana kwenye video za mastaa kadhaa, ikiwemo video ya Daz Baba “Usiku Huu” pamoja na video yaROMA “Kidole cha Mwisho Juu“.

«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani