VIDEO;JINSI MASHABIKI WA CHELSEA WALIVYOMSUKUMA MTU KWENYE TRENI
TZ MZUKA
05:28
0
Jana, baada ya mechi ya Chelsea na Paris Saint German
fans wa Chelsea wakaingia zao kwenye treni kurudi makwao, lakini
walifanya kitendo ambacho kilionekana kuwakwaza wengi na hata uongozi wa
Club hiyo pia.
Mashabiki hao walimsukuma kumzuia mtu
mmoja ili asipande ndani ya treni hiyo huku wakiimba wimbo uliohisisha
ishu ya ubaguzi wa rangi.
Wakati wakimsukuma walikua wakiimba nyimbo za kibaguzi zilizolenga kumdhalilisha.
“Tutawaadhibu wote waliohusika na
kitendo hiki.. kwenye mpira hatuwezi kuruhusu mambo haya, tumepanga pia
kuomba wachunguzi kutoka UEFA waweze kutusaidia kuwapata wote
waliohusika“-alisema mmoja wa viongozi wa Club ya Chelsea.