Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » Tyga azungumzia kuacha familia yake na beef na Drake


TZ MZUKA 01:50 0

Rapa Tyga amehojiwa hivi karibuni kuhusu mambo makubwa ya msingi yanayoendelea kwenye maisha yake ambayo ni pamoja na beef lake na Drake na mahusiano yake na mdogo wake Kim k ‘Kylie Jenner’.

Tyga amesema “Sina mahusiano na Kylie Jenner, nataka hilo lijulikane mapema, sijaacha familia yangu ili niwe na Kylie, ni mwaka sasa toka nimeachana na mke wangu Chyna” .

Kuhusu beef lake na Drake Tyga amesema ” sitakaa nionge jambo baya kuhusu Lil Wayne na mambo yangu na Drake hayamuhusu Wezzy,  nimeuza zaidi ya kopi milioni kumi au kumi na moja na Young Money, nimeongea na Baby, nilitakiwa kutoka Young Money mwezi uliopita”
Kuhusu kumuita Drake ‘Bitch’, Tyga anasema simkubali kama mtu ,najua muziki wake ni mzuri na yeye ni mkali kama msanii, ni mambo yangu binafsi na yeye, anajidai ni mtu wa kweli kwa njee ila ndani sio mtu wa kweli kabisa, anachezea watu kushoto na kulia”.

«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani