Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » Ziko Hapa Picha Behind The Scenes Ya Iyanya Na Diamond Platnumz Wakishoot Video Huko Nigeria


TZ MZUKA 13:59 0

 Baada ya kuachiwa audio ya collabo mpya ya Iyanya aliyomshirikisha Diamond Platnumz, kwa sasa ‘Nakupenda‘ imewakutanisha mastar hao Nigeria wakiwa kwenye mchakato mzima wa kuandaa video ya wimbo huo.


 Director wa video ni Patrick Ellis, ujumbe wa Diamond kwenye ukurasa wake wa Instagram aliandika hivi; “Hufai eti, wansema Unavuaga tu Sketi….. Na Ntaregret we Shuka Mwenzako Blangeti….!!!!!! Onset!!#NAKUPENDA @iyanya ft your Boy!” @diamondplatnumz

«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani