BAYERN MUNICH 1 vs 1 BORUSSIA DORTMUND(AET, 0-2 PENATI) MIKWAJU YA PENATI YAWAANGUSHA BAYERN, WATUPWA NJE!! KLOPP ASHANGILIA TIMU YAKE KUSHINDA NA KUTINGA FAINALI!
TZ MZUKA
23:21
0
Robert Lewandowski dakika ya 29 kipindi cha kwanza anaziona nyavu na kufanya 1-0 dhidi ya Borussia Dortmund
1-0
![Bayern Munich 1-1 Borussia Dortmund (AET, 0-2 pens): Jurgen Klopp celebrates victory in](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_v3sRNtGzhfGuzgQrXYmdfEMrlSRue1WR9VrHUCkLGI_bm2Ax1dBZgqC86xvAnqb5gSgpleUgsgEpFKQhtfLoY9-sw47Q8S33JugxB0UQmI4wnOeaYF1pCjFC7iMtA26l0Zrfbf8ZDTaWlN3dgmmFay8Y589fOAjMZUYRreivHuhA=s0-d)
Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 75 aliisawazishia bao na kufanya 1-1.
Ndani
ya Allianz Arena Jijini Munich, Germany ni patashika Fainali ya Kombe
la Germany, DFB-POKAL, kati ya Miamba ya Nchi hiyo Mabingwa wa Germany,
Bayern Munich, na Borussia Dortmund.
Mchezaji wa Bayern Munich Philipp Lahm chini akipiga penati ya kwanza ..![](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_vhW69ClBuTEoBHApzDkXc0T2vRJ1hFjfmvPqN5ftc17OrbIJEq7QAc5hbnAT8Q7wll9hRpw_-lIWEb3zUBHlJHsgg33V-X5wRYCKdNRTgjaAvV8XMCq69tAPIUrtLx0R_OLngGeEznmTsIlxYD6T8tbFC-9YkqB8X8UZk2E99vli3PuDnf=s0-d)
Borussia Dortmund wametinga Fainali ya Kombe la Germany, DFB-POKAL, baada ya kuwabwaga Mabingwa Watetezi Bayern Munich kwa Penati 2-0 kufuatia Sare ya Bao 1-1 katika Dakika 120 za Gemu iliyochezwa Nyumbani kwa Bayern, ndani ya Allianz Arena.
Kwenye
Fainali, Borussia Dortmund, ambao mwishoni mwa Msimu wanamuaga Kocha
wao Jurgen Klopp, watacheza na Mshindi wa Nusu Fainali nyingine
inayochezwa Leo kati ya Timu ya Daraja la 3 Arminia Bielefeld na Klabu
ya Bundesliga, VfL Wolfsburg.
Katika
Nusu Fainali hii, Bayern walitangulia kufunga Bao la Dakika ya 29 la
Robert Lewandowski na Dortmund kurudisha Dakika ya 75 kwa Bao la
Mchezaji kutoka Gabon, Pierre-Emerick Aubameyang.
Katika
Dakika za Nyongeza 30, Dortmund walibaki Mtu 10 baada ya Mchezaji wao
Kampl kupewa Kadi Nyekundu lakini mwisho Bao zilibaki 1-1.
Kwenye
Mikwaju Mitano ya Penati, Bayern walikosa Penati zao zote 4 zilizopigwa
na Xabi Alonso, Philipp Lahm, Mario Gotze na Kipa Manuel Neuer huku
Dortmund wakifunga 2 kupitia Sebastian Kehl na Ilkay Gundogan. ![](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_uONwWZCscal0z45wjGfhEx89llJQmRObVRcdlNCJEpEs4ANFDuurJvM-tIFAgom9NyfpZrVDS5lLKOTv9J2iMncRdFTJz8F0ld8LzARataffpP-yayH8TQcqialcY2qW0j7ucH3CWnn0Vsx859tilaF66062mD_jd6bRJJhMcAxcEENR-G=s0-d)
Lahm akipagawa chini baada ya kuwakosakosa Dortmund
![](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_tUWEOJNMyUq01hOzkq-pEHd-jR0MvZos5johVEvbU85nNR1L5XoG0nPb89LoQsQN_oDqQpoByQ_iIaLoT6BjBJySax5E3flPtGCHgB1WsjjM4O2UQxLB5K30gverDKRAbTv2RP6szHyYuU4UqbJD9h-dPG-c9JF7mE1ETT4Mm1yq0e-zQ=s0-d)
Mchezaji wa Borussia Dortmund Gabonese Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kusawazisha bao kwa kufanya 1-1 dakika ya 75 kipindi cha pili.
![](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_tt_wUqUx_y1gOztYQtLJjfFIQbsTtkc9V1orNIzK3lQS3Bi1ukYca-W6THhwRBILWE8Sn5b3CSGYwllGmbAluOyh9FikQMFFCyF0CAggr4T1iu9jblO6Dam7MDlqLJU1EJIod36U9vhI54oTLFFNnxkTuS7Hrc50q-PlpqAd1Tr1nmEJbm=s0-d)
Kipa wa Bayern Manuel Neuer akiunyakia ndani ya lango lake na kuwa bao
![](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_sjiDvn0dioAe-Xtc4JxeXgAslfg-tDJyPAaVUPsXgK3z7QpOPBlv0Iw7fX-4e8FRUztKUCwc9afiPqGJRGDCkowrGwCT_oK4pacvgN_Ox1ojTD5M7WRh553G124BpDAfq2bTVkEUnm37blr7ddAPwlBrnFkHfeSKDgEPI4nYF_RIzHwI1M=s0-d)
Jurgen Klopp akifurahi na mchezaji wa Bayern Munich Arjen Robben
![](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_snbL2ExMukDY8_Fsewz8adhxJ7XWN_FcHLHR4XjQLwxNEg9sJe1tPMzj3FMBmUzC0PxfuzkH2IYaH7rTH-bbAbPu9oqaiR0ctpgflMjW9-MrXNpdmHMAbv8KBHuosOyMQ4AMW3O3E8sR8cXVKrHkSoDd2gJ2pdPlTVLZot6OvwlPzzj4e5=s0-d)
Klopp akitoa maelekezo Uwanjani huku akiwa sare ya 1-1