HULL CITY 1 vs 0 LIVERPOOL, DAWSON AWATUNGUA LIVERPOOL KC STADIUM
TZ MZUKA
23:18
0
Unaweza kusema Liverpool sasa ni pombe ya ngomani, watu wanajinywea wanavyotaka.
Leo imepoteza tena mchezo wa Ligi Kuu England baada ya kuchapwa bao 1-0 na Hull City.
Mshambuliaji wake Mario Balotelli raia wa Italia, ameshindwa kutamba na kuishuhudia Liverpool ikiuwawa kwa bao hilo moja tu!