CHELSEA YAPATA USHINDI WA GOLI 3-1
TZ MZUKA
21:58
0
Ushindi huo umeiwezesha kufikisha pointi 80
wakati waliokuwa mabingwa watetezi, Man City wana pointi 67 na wakashinda mechi
zao tatu zilizobaki watafikisha pointi 79.
Hivyo Chelsea inahitaji ushindi wa mechi moja
tu kujihakikishia ubingwa
Lakini Chelsea wakasawazisha kupitia Didier
Drogba katika dakika ya 47, John Terry akaongeza la pili kabla ya Ramirez
kufunga la tatu kwa shuti kali baada ya kutengewa na Cesc Fabregas katika
dakika ya 83.
Sasa Chelsea iliyobakiza mechi nne mkononi,
inaendelea kushindana naa Arsenal ambayo iwapo itashinda mechi zilizobaki
itafikisha pointi 82.
Katika mechi ya leo, Leicester ndiyo
waliotangulia kufunga bao katikaa dakika ya 45.