Home
»
Sports
»
FULL TIME: MANCHESTER CITY 3 vs 2 ASTON VILLA, CITY CHUPUCHUPU!! FERNADINHO AFANYA MAJAMBO!
TZ MZUKA
13:19
0
Manchester
City walipata bao la mapema baada ya makosa ya kipa kutokea wa Villa na
Sergio Agüero dakika ya 3 kufunga bao la kwanza na kipindi cha pili
Aleksandar Kolarov aliwafungia bao la pili dakika ya 66 na Villa
walipata bao kupitia kwa Tom Cleverley dakika ya 68 na bao kuwa 2-1.
Carlos Sánchez alisawazisha bao dakika ya 85 nao City wakapiga bao la
ushindi dakika za majeruhi dakika ya 89 na kufanya 3-2 kupitia kwa
Fernandinho.
Tags :
Sports
Share !