LA LIGA:REAL MADRID YAICHAPA RAYO VALLECANO 2-0 YAIPUMULIA BARCELONA
TZ MZUKA
09:48
0
Real Madrid inazidi kuipumulia Barcelona katika mbio za
La Liga baada ya kuichapa Rayo Vallecano 2-0 Kwa ushindi huo, Real
Madrid inaendelea kutofautishwa kwa pointi kati yake na Barcelona ambayo
hapo awali iliifumua Almeria 4-0.
Ronaldo akishangilia bao lake la 300
Mabao
ya Real Madrid yamefungwa na Cristiano Ronaldo aliyetupia katika dakika
ya 68 muda mfupi baada ya kulimwa kadi ya njano kwa kujirusha huku bao
la pili likifungwa na James Rodriguez dakika ya 74.