Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » TUZO ZA MWANASOKA BORA WA MWAKA ENGLAND MWAKA 2015


TZ MZUKA 01:49 0

Ligi kuu ya England ikiwa inakaribia kuisha, mchezaji wa Club ya Chelsea, Eden Hazard raia wa Ubelgiji ambaye hadi sasa ameifungia timu hiyo mabao 18, amechagulia kuwa mchezaji bora wa mwaka na chama cha wachezaji wa kulipwa England PFA.
Na tuzo ya mwanasoka bora chipukizi imechuliwa na mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane aliyefanikiwa kushinda nafasi hiyo baada ya kuwapiku kipa David De Gea wa Man United na Raheem Sterling wa Liverpool.

«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani