REAL MADRID YAITWANGA CELTA VIGO 4-2 CHICHARITO MOTO WA KUOTEA MBALI
TZ MZUKA
00:12
0
Real Madrid imeendelea kuifukuza Barcelona kwa
kuitwanga Celta Vigo kwa mabao 4-2.
Mabao ya Madrid yalipachikwa wavuni na Toni Kroos, James Rodrigues, Javier Harnandez ‘Chicharito’ aliyepachika mabao mawili.