Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » Mashabiki wa Jay Z Weusi Walalamikia tabia yake ya kinafki


TZ MZUKA 11:58 0


Wamarekani weusi wamemshambulia rapa Jay Z kwa vijembe kuwa yeye ni mnafki baada ya kuona picha ya wafanyakazi wa kampuni yake ya TIDAL Kuwa wote ni weupe.
Jay Z hivi karibuni alilalamika kuwa watu weusi hawampi ushirikiano na kampuni yake ya Tidal kama wanavyofanya na kampuni nyingine kama Google, Itune [Apple] na Nike.
Hata hivyo imegundulika kuwa Makao makuu ya kampuni ya Tidal yapo nchini Norway ambako watu weusi sio wengi kitu ambacho kimepelekea watu wengi wenye ujuzi na wanaoajiriwa kwenye kampuni nyingi kuwa weupe.

«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani