NEW VIDEO:Ruby - Na Yule (Official Video)
TZ MZUKA
01:26
0
Video ya msanii mpya wa bongo fleva Ruby
‘Na Yule’ imetoka May 15 2015. Wimbo umetayarishwa na Tudd Thomas
[Surround Studios] na Video imetayarishwa na muongozaji maarufu Afrika
Mashariki Kevin Bosco Jnr.