Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » PICHAZ;Weusi wakesha studio kurekodi wimbo na Aka wa Afrika Kusini.


TZ MZUKA 03:01 0

Rapa Joh Makini akiwa na G Nako na Nikki wa Pili walikesha studio usiku wa kuamkia leo wakirekodi wimbo na rapa Aka kutoka Afrika kusini. Collabo hii imetayarisha na producer wawili ambao ni Nahreel kwa upande wa beat na Tudd Thomas.
Aka alikubali kufanya collabo baada ya kusikilizishwa nyimbo za Joh Makini ambaye aliambiwa ni mwiongoni mwa rapa wakali Tanzania.

joh makini 1
joh makini 4 joh makini 5 joh makini 6 joh makini 7 joh makini 8

«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani