UEFA EUROPA LEAGUE.. DNIPRO 2 vs 3 SEVILLA, CARLOS BACCA AIWEZESHA SEVILLA KUTETEA KOMBE LAO VYEMA, MABINGWA TENA KWA MARA YA 4 EUROPA LIGI 2014/2015!
TZ MZUKA
23:47
0
Straika wa Sevilla Carlos Bacca akiifungia bao la Ushindi kipindi cha pili dakika ya 73
Juhudi binafsi za Bacca zilimfanya aifungie bao mbili na Kipa wa Dnipro Denys Boyko Pamoja na kuwa kulilinda vyema lango lake hakuona ndani bao la mwisho la Bacca.
Bacca akishangilia
Carlos Bacca akiomba mara baada ya kufunga bao mbele ya wapiga picha pembeni ya Uwanja
Kalinic akipongezwa na Wana Dnipro
Dnipro Mashabiki waliosafiri kwenda kuishangiliaTimu yao