Wiz Kid naye awachana waandaji wa tuzo za BET.
TZ MZUKA
13:41
0
Kupitia kurasa yake ya twitter Wiz anasema hakuhudhuria tuzo hizo zilizofanyika jumapili ya tarehe 28 June sababu hakuona maana kama angepata tuzo angeipokea saa nne asubuhi kabla ya show, Wiz anaendelea kusema kuwa hana imani na tuzo sababu ni watu wamekuja pamoja kutayarishwa show yao tu.