Diamond Platnumz Mombasa usiku huu na Nyota Ndogo kwenye ‘Mashariki Festival
TZ MZUKA
13:21
0
Desemba 12 ni siku ambayo Kenya inasherehekea
maadhimisho miaka 51, ya Sikukuu ya Jamhuri, sherehe hizo zinafanyika
katika Uwanja wa Nyayo na zinagegemewa kuwa fupi tofauti na miaka
mingine.
Mastaa wachache watafanya show kwenye
Mashariki Festival ambayo inafanyika usiku huu Mombasa, Kenya
huku Diamond Platnumz akiwa mmoja kati ya wasanii hao ambae amealikwa.
Hizi ni picha alizoweka msanii huyo akiwa tayari ndani ya Mombasa leo, msafara wa mapokezi yake ulisindikizwa na gari za Polisi.




