Picha, Good tyme ya V Money na Jux baada ya show yao Zanzibar.
TZ MZUKA
10:42
0
Bongo fleva ilitawala Zanzibar ‘Ngome Kongwe’ 17 Jan kwenye usiku wa show kali Jux, Vanessa Mdee, Navy Kenzo ‘Nahreel na Aika’ ambayo ilifunguliwa na Baby J na Mirrro.
Baada ya show Aika, Jux, V Money na Shadee wa clouds fm walikula good tyme kabla ya kuondoka Zanzibar.