Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» »Unlabelled » Tuzo za Wanakandanda wa Afrika huko Lagos


TZ MZUKA 22:57 0


Tazama washindi ambao wapo katika maandishi manene ndani ya kila kundi la Tuzo, wengine waliomo ni waliokuwa wakiwania.
Mwanasoka Bora wa Mwaka
  • Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon and Borussia Dortmund)
  • Vincent Enyeama (Nigeria and Lille)
  • Yaya Toure (Cote d’Ivoire and Manchester City)
Mwanasoka Bora wa Africa anaecheza Afrika
  • Akram Djahnit (Algeria and ES Setif)
  • El Hedi Belamieri (Algeria and ES Setif)
  • Firmin Mubele Ndombe (DR Congo and AS Vita)
Mwanasoka Bora wa Mwaka wa Kike
  • Annette Ngo Ndom (Cameroon and Amazon Grimstad)
  • Asisat Oshoala (Nigeria and River Angels)
  • Desire Oparanozie (Nigeria and Guingamp)
Mchezaji Chipukizi wa Mwaka: 
  • Asisat Oshoala (Nigeria and River Angels)
  • Fabrice Ondoa (Cameroon and Barcelona)
  • Uchechi Sunday (Nigeria and River Angels)
Kipaji kinachoibuka:
  • Clinton N’jie (Cameroon and Olympique Lyon)
  • Vincent Aboubakar (Cameroon and Porto)
  • Yacine Brahimi (Algeria and Porto)
Kocha Bora:
  • Florent Ibenge (DR Congo)
  • Kheireddine Madoui (ES Setif)
  • Vahid Halilhodžić (Former coach of Algeria)
Timu bora ya Mwaka: 
  • Algeria
  • Libya
  • Nigeria
Timu bora ya Wanawake ya Mwaka
  • Cameroon
  • Nigeria
  • Nigeria U-20
Klabu ya Mwaka
  • Al Ahly (Egypt)
  • AS Vita (DR Congo)
  • Sewe Sport (Cote d’Ivoire)
  • Es Setif  (Algeria)
Mwamuzi wa Mwaka
  • Alioum Neant (Cameroon)
  • Doue Noumandiez Desire (Cote d’Ivoire)
  • Papa Bakary Gassama (Gambia)
Football Leader of the Year
Moise Katumbi Chapwe - President of TP Mazembe (DR Congo)
African Legend award
Oryx Club (Cameroon) – winners of the maiden edition of CAF Champions League 1964

«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani