TOTTENHAM HOTSPUR 4 v 3 LEICESTER CITY, HARRY KANE NI BALAA!! APIGA HAT-TRICK LE
TZ MZUKA
10:32
0
Harry Kane akishangilia moja ya bao lake leo dhidi ya Leicester City
BAO za Tottenham Hotspur zilifungwa kipindi cha kwanza na cha pili. Dakika ya 6 Harry
Kane alianza kuliona lango la Leicester City kwa kufanya 1-0, Dakika ya 13 tena Harry Kane kwa kufanya 2-0 na Kipindi cha pili dakika ya 64 Harry Kane aliifungia bao la tatu kwa Mkwaju wa penati na bao la mwisho la nne ni la kujifunga Leicester kupitia kwa Mchezaji wake Jefferey Schlupp dakika ya 85.
Bao la Leicester City Jamie Vardy dakika ya 38, Wes Morgan alifunga bao dakika ya 50 na D. Nugent alimaliza mchezo kwa kuifungia bao la tatu na la Mwisho dakika ya 90 na kufanya 4-3. Mpaka Mapumziko ndivyo hali ilivyokuwa.
