Vanessa Mdee kuachia ngoma aliyomshirikisha rapper wa Afrika Kusini K.O wiki ijayo
TZ MZUKA
04:09
0
Akiwa kwenye maandalizi ya show kubwa atakayoenda kuifanya Nigeria mwezi ujao ‘Gidi Culture Festival’ , staa wa muziki Vanessa “Vee Money” Mdee ametoa habari nyingine njema kwa mashabiki wake.
Wiki ijayo Vee Money atapakua moja ya kazi zilizompeka Afrika Kusini hivi karibuni, safari aliyoenda na Joh Makini, Jux, Nahreel, Aika pamoja na G-Nako wiki kadhaa zilizopita.
Alhamisi ijayo March 26, 2015 Vee Money ataachia wimbo na video mpya iitwayo ‘No Body But Me’ aliyomshirikisha rapper kutoka Afrika Kusini K.O, audio imetengenezwa na Nahreel.
Kupitia Instagram ameandika:
“Sikuweza kusubiri tena, Ninafuraha tele ya kuShare wimbo wangu mpya na nyie mashabiki wa Vee. Wimbo Na Video yangu mpya ambayo nimemshirikisha rapper mkali kinoma kutoka South Africa K.O mkali wa Cashtime @MrCashtime @MrCashtime @MrCashtime @MrCashtime – itakuwa maskioni kwako na live kwenye screen zenu Alhamisi Tarehe 26 March 2015 #NobodyButMe #NobodyButMe #NobodyButMe produced by my boy @Nahreel.99”