Ali kiba ameachia kava zinazoikaribisha single mpya inayotoka kesho
TZ MZUKA
01:58
0
Leo Feb 25 kupitia instagram ame teaser kava mbili ambazo zikidhihirisha ujio wa single mpya, kava moja ilikuwa imeandikwa Cheketua na la pili imeandikwa Chekecha.
Kutokana na ukubwa alionao na cheo cha
‘ufale’ ambacho amejipa, maswali ambayo mashabiki wengi wanajiuliza ni
je ngoma hiyo itafanikiwa kuizidi ‘Mwana’?