Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » UEFA Champions League;Matokeo ya Arsenal na Monaco yako hapa


TZ MZUKA 14:41 0

      Michuano ya ligi ya mabingwa wa ulaya imeendelea leo tena katika hatua ya 16 bora ya michuano ambapo Arsenal waliikaribisha katika Monaco  dimba la Emirates Stadium  katika mchezo wa raundi ya kwanza ya hatua hiyo ya mtoano wa michuano hiyo.
Ambapo Monaco wamewafunga Arsenal magoli 3-1 magoli ya Monaco yalifungwa na Y. Ferreira-Carrasco, D. Berbatov,  Kondogbia na bao la kufutia machozi la ARSENAL limefungwa na  A. Oxlade-Chamberlain

MATOKEO YA BAYER LEVERKUSEN NA ATLETICO MADRID     

«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani