ULIONA WACHEZAJI WA CHELSEA WALIVYOKWAMA KWENYE BASI KABLA YA KUIVAA PSG
TZ MZUKA
00:57
0
Wachezaji na makocha wa Chelsea walilazimika ‘kupiga’
miguu umbali mdogo kutoka uwanjani baada ya basi lililokuwa linawapeleka
uwanjani kukwama.
Juhudi za dereva kulikwamua zilishindikana kwa
zaidi ya dakika tano.
Kutokana na hali hiyo, Kocha Jose Mourinho
aliamuru wachezaji na wengine waliokuwa ndani ya basi kushuka na kutembea hadi
vyumbani.
Katika mechi hiyo jijini Paris, Chelsea waliokuwa wageni walipata sare
ya bao 1-1.