Joh Makini Afanya Collabo Na Rapper Huyu Kutoka Afrika Kusini.
TZ MZUKA
02:42
0
Ukiambiwa utaje rappers watatu bora kwa sasa nchini Afrika Kusini, huwezi kuacha kuwataja AKA, Cassper Nyovest na K.O
Katika kuonesha kuwa Weusi hawataki
kabisa mchezo mwaka huu, Joh Makini ameingia studio kurekodi wimbo na
rapper wa kundi maarufu la Afrika Kusini la Teargas, Ntokozo Mdluli
maarufu kama K.O.
Joh Makini ambaye yupo jijini
Johannesburg alikoenda pamoja na G-Nako, Vanessa Mdee na Navy Kenzo,
amepost picha Instagram akiwa na K.O na kuandika: #Studio_flow
with #KO @mrcashtime himself #2KINGS #ARUSHA_MEETS_JOHANNESBURG #2015
#GODENGINEERING #WEUSIMEETSCASHTIME #amonmyway.”
Joh Makini akiwa na mtangazaji wa MTV Base, Nomuzi Mabena
Hivi karibuni K.O alihit na ngoma ‘Caracara’ aliyomshirikisha Kid X. Tazama Hapa Chini
Credit To; Jimmcarter