Christiano Ronaldo ampiku Shakira na kuwa staa mwenye wafuasi wengi zaidi Facebook duniani
TZ MZUKA
11:58
0
Mchezaji wa Real Madrid ya Uhispania na Ureno, Christiano Ronaldo kwa
sasa ndiye mtu maarufu zaidi duniani kwenye mtandao wa Facebook. Ronaldo
mwenye umri wa miaka 30 amempiku mwanamuziki maarufu kwa kunengua
kiuno, Shakira kwa kuwa na wafuasi zaidi ya milioni 107.