Picha;Covers la nyimbo ya Ommy Dimpoz akiwa na Wema Sepetu.
TZ MZUKA
16:09
0
Wakati video ya Ommy Dimpoz aka Omary Nyembo ‘Wanjera’ imeshaanza kuchezwa kwenye kituo cha kimataifa cha TraceTv, tumepata cover za audio ya wimbo huu unaotoka kesho saa nne asubuhi.
Kwenye cover hizi tunamuona Ommy Dimpoz akiwa na staa wa filamu Tanzania Wema Sepetu.