New Video: Kamikaze – Nikikuona
TZ MZUKA
01:39
0
Baada ya kuitambulisha video yake club bilicanas, hii ndio video mpya ya
Kamikaze ‘Nikikuona’ kwa wale walioshindwa kuhudhuria show. Audio
imetayarishwa na y Godfather Mbezi na video na Young Wallace.