Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » Aslay amweka hadharani mrembo wake Mtazame hapa


TZ MZUKA 09:20 0

Yamoto Band ina kiki mtaani hivyo si jambo la ajabu waimbaji wake kuwa kivutio cha wasichana wazuri. Aslay amejipatia wake, mashallah ni mremboo!


Aslay na mpenzi wake wakiwa kitandani
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Aslay ameweka picha mbalimbali za mrembo huyo maarufu kwenye video za muziki huku moja ikiwa na ujumbe ‘My toto tessychocolate …….love u bby.”
Katika ujumbe mwingine Aslay alimtakia mwanadada huyo siku ya kuzaliwa: Happy birthday my baby mama mtu sasa leo mungu akipenda nitakula keki pamoja na kipenzi changu hongera bby me na wewe tumezaliwa mwezi mmoja na tarehe zetu zinafatana happy birthday kipenzi change.
Pia rapper wa kike kutoka Mkubwa na Wanawe,Ge2 aliandika: Huwa napendaga kukuita #superwoman hasa kwa harakati za kupigania penz lako kwa bwana @aslayisihaka umepitia mengi majaribu kwa kutukanwaa na kusemwa vibaya mpaka kutishiwa maisha ila hukukata tamaa ulikomaa, umekuwa furaha yetu familia nzima ya #mkubwanawanawe umesaidia mengi especially me kwenye shida na raha upo nasi na nakumbuka ulivyokuwa unateseka kipindi kileeeeeee cha kumsaka #toto aka #dingimtoto mungu mkubwa leo mpo pamoja na mnayaendeleza maisha na nashukuru kwa kumbadilisha ndugu yetu cz ametulia tuliiii kama maji ya mtungini. Nakupenda sana #bebe na leo ni cku yako ya kuzaliwa namwomba mungu akulinde wewe na penzi lako na awaepushe na mabaya yote ya hapa dunia #Happybirthday @tessychocolate

Aslay na mpenzi wake wakiwa shopping
Aslay na mpenzi wake wakiwa shopping
11236057_818183851602898_463760087_n

«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani