Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » Forbes wametaja Wasanii watano wa hiphop matajiri zaidi duniani 2015.


TZ MZUKA 21:42 0


Mtandao/jarida la Forbes umetoa majina ya wasanii watano wa hiphop wenye mali na pesa zaidi duniani, Orodha hii imetaja majina ya wasanii wa Hip-Hop ambao ni Dr. Dre , Sean “Diddy” Combs mmiliki wa Bad
Boy record label, Revolt TV, Ciroc, Sean Jean clothing line na biashara zingine.

Hii ndio orodha ya Forbes 5 Wealthiest Artists of 2015:
  1. Diddy – $735 million
  1. Dr. Dre – $700 million
  1. Jay Z – $550 million
0x600 3
  1. 50 Cent – $155 million
0x600 6
  1. Birdman – $150 million
0x600 4

«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani