FULL TIME: ATLETICO MADRID 0 vs 1 BARCELONA, LIONEL MESSI AFUNGA BAO LA USHINDI, BARCELONA MABINGWA SASA LA LIGA MSIMU 2014-2015!
TZ MZUKA
12:28
0
.
Barcelona wametazwa rasmi kuwa Mabingwa wa La Liga baada ya kuwafunga
waliokuwa mabingwa watetezi wa ligi hiyo, Atletico Madrid katika mchezo
uliomalizika hivi punde.
Lionel Messi alifunga goli pekee lilowahakikishia Barca ubingwa huo katika dimba la Vicente Calderon.
Ubingwa huu unakuwa wa 23 katika historia ya klabu hiyo ya Catalunya.
Barca watakabidhiwa kombe lao watakapocheza mchezo wa mwisho wa ligi wiki ijayo.
Atletico Madrid: Oblak, Juanfran, Godín, Giménez, Siqueira, Mario Suarez, Gabi, Koke, Arda, Griezmann, Torres.
Barcelona: Bravo, Alves, Alba, Pique, Mascherano, Rakitic, Busquets, Iniesta, Messi, Neymar and Pedro.