Home
»
Sports
»
FULL TIME: ESPANYOL 1 vs 4 REAL MADRID, CRISTIANO RONALDO APIGA HAT-TRICK!
TZ MZUKA
12:24
0
Mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika
hakuna Timu ilikuwa imeliona lango la mwenzake. Kipindi cha pili Real
walifunga bao kupitia kwa mshambuliaji wake Cristiano Ronaldo dakika ya
59 na dakika ya 73 Espanyol walisawazisha kwa kufanya 1-1 kupitia kwa
Christian Stuani.
Marcelo alifunga bao la pili dakika ya 79 na
kufanya 2-1 na Cristiano Ronaldo tena akafunga dakika ya 83 na
kumalizia bao lake la tatu Hat-trick dakika ya mwishoni dakika ya 90,
Hivyo Cristiano Ronaldo kamaliza mtanange huu akijichukulia mpira kwa
kufunga bao tatu peke yake ambayo ni Hat-trick yake akijiongezea wingi
wa mabao kuliko Lionel Messi wa Barcelona.
Tags :
Sports
Share !