Pichaz;Ali Kiba avamiwa na majambazi zaidi ya 15 Nyumbani kwake
TZ MZUKA
02:58
0
Msanii wa bongo fleva Abdu Kiba
amenifahamisha asubuhi ya 2 April 2015 kuwa Kaka Yake Ali Kiba amevamiwa
na majambazi nyumbani kwake kunduchi jijini Dar es salaam.
Abdu kiba anasema ” alikuwa Masaki na
kupoke simu kutoka kwa Ali Kiba kuwa anahitaji msaada wake baada ya
kuvamiwa na watu zaidi ya 15 hivi. Abdu anasema wakati anaenda nyumbani
alikutana na defender ya pilosi na kuipigia kelele na kuwapeleka
nyumbani “.Abdu Kiba anasema “Hawakuweza kumuona Ali sababu alijifich ila Wameiba kila kitu cha thamani, wameiba milioni mbili na nusu chumbani kwangu na pesa zingine kutoka kwenye chumba cha dada yetu. Wamekatisha mipango kibao iliyotakiwa kufanyika hivi karibuni kama photo shoot ya wimbo wangu mpya“
Uharibifu uliofanyika ni mkubwa sana na
tumeshatoa taarifa polisi na wamefanya msako mkubwa kwenye maeneo haya
usiku huu, alisema Abdu Kiba