Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » FULL TIME: MANCHESTER UNITED 0 vs 1 WEST BROM ALBION, VAN PERSIE ACHEMSHA PENATI!! NDANI YA OLD TRAFFORD


TZ MZUKA 11:56 0

Jonas Olsson dakika ya 64 aliipa bao West Brom Albion baada ya kutokea mpira wa Adhabu nje kidogo na box na kuachia shuti kali lililombabatiza mchezaji kwenye ukuta na kuzama moja kwa moja nyavuni mwa lango la Man United na kufanya 1-0.
 Man United walipata Penati Dakika ya 74 na Robin van Persie kupiga na Kipa Myhill kuokoa.

 VIKOSI:
Manchester United wanaoanza:
De Gea, Valencia, Smalling, McNair, Blind, Ander Herrera, Mata, Rooney, Fellaini, Young, Van Persie
MUFC akiba: Jones, Di Maria, Falcao, Januzaj, Valdes, Blackett, Pereira
West Brom wanaoanza: Myhill, Dawson, McAuley, Olsson, Lescott, Gardner, Yacob, Fletcher, Mulumbu, Brunt, Berahino
WBA akiba: Wisdom, Baird, Ideye, Anichebe, McManaman, Sessegnon, Rose




MATOKEO MENGINE:

Leicester 3 Newcastle 0
 
Aston Villa 3 Everton 2
 
Liverpool 2 QPR 1
 
Sunderland 2 Southampton 1
 
Swansea 2 Stoke 0
 
West Ham 1 Burnley 0


«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani