Malkia wa Filamu za Kibongo kutoka
Kiwanda cha Bongo Movie Wema Sepetu ambaye mwaka jana aliachana Rasmi na
Aliyekuwa mpenzi wake msanii wa muziki wa Bongo Fleva anayemiliki Hit
single ya Nasema Nawe aliyomshirikisha Malkia wa Taarabu nchini Khadja
Kopa, Diamond Platnumz, Licha ya
kwa wamechana lakini watu wamekuwa na
maswali mengi kama ni kweli Wema hamsi hata kidog Diamond amefunguka
kwenye mahajiano na kipindi cha Kabali cha EFM mengi ambayo tulikuwa
hatujia kabisa bonyeza PLAY kusikiliza au bonyeza