Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » FULL TIME: MANCHESTER UNITED 1 vs 1 ARSENAL


TZ MZUKA 10:44 0


Ander Herrera dakika ya 30 anaipatia bao la kuongoza United akipata krosi safi kutoka kwa Ashley Young kama kona na Ander kuumaliika kwa shuti kali hadi langoni mwa Arsenal na mtanange kwenda mapumziko United wakiongoza kwa bao 1-0 dhidi ya Arsenal. 
Dakika ya 82 Tyler Blackett aliyeingia kipindi cha pili mpira ulipigwa na mchezaji wa Arsenal Theo Walcott kisha kuutengengua na kujifunga bao na kuwapa zawadi Arsenal kwa kusawazisha na kufanya sare ya 1-1.
VIKOSI:
Manchester United: De Gea, Valencia, Jones, Smalling, Rojo, Mata, Blind, Herrera, Young, Fellaini, Falcao
Man Utd akiba: Di Maria, Januzaj, Van Persie, Valdes, McNair, Blackett, Wilson
Arsenal: Ospina, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Coquelin, Cazorla, Ramsey, Ozil, Sanchez, Giroud 

Arsenal Akiba: Szczesny, Gibbs, Gabriel, Rosicky, Wilshere, Walcott, Flamini
Refa: Mike Dean

«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani